Ndege iliyokuwa imewabeba wachezaji wa saudia Arabia waliokuwa wanaelekea Ristov-on-Don kwa ajili ya mchezo wao wa kesho jumatano dhidi ya Uruguayi wamenusirika kifo baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupata itilafu katika injini moja wapo.
Picha zilizosambaa vyombo mbalimbali na mitandaoni zianonesha ndege bawa moja likiwa limeshika moto na cheche ndege hiyo ya shirika la Rossiya.
lakini walifika salama na amna ripoti yoyote ya majeruhi nahodha osama amesema wanamshukuru Mungu kwa kufika salama.
Habari na Prosper Bartholomew.
Simu:+255716243875
Maoni