MTAZAMO: TIMU ZA AFRIKA KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2018 ,MATATIZO NA KUYASULUHISHA

Timu za Afrika tano zimepata nafasi ya kutambulisha bara hili kunako urusi 2018 .Droo ya makundi inafanyika ijumaa (mwisho wa wiki hii kuelekea weakend) .Hanna timu geni kwenye mashindano hay inayotokea Africa angalau kila timu ishawai shiriki .Amna timu kutoka ukanda wa chini ya jagwa la sahara .

Nigeria ndo inaongoza kwa kufunzu mara nyingi kati ya nchi hizo tano zinazowakilisha bara . imefuzu mara sita (6) ikiwa mwaka 2014  ilishuhudia mashindano haya .Timu hii ilikosa michuano ya Afcon mwanzoni mwa mwaka huu .Ila timu hii inaudwa na wachezaji wazuri na wapeperusha bendera ya Afrika katika soka la ulaya. Timu hii ilikuwa ya tatu katika michezo ya Olympic mwaka Jana .John Obi Mikel ndo nahodha wa kikosi hiki anapewa nafasi kubwa ya kukiongoza kikosi hiki mwakani . kwa sasa anachezea klabu ya China . mchezo wa kirafiki dhidi ya Argentina huko Argentina walishinda 4-2 hii timu inaweza ikafika mbali ina wachezaji wazuri na kocha anayejimudu

Morroco na Tunisia zimegongana zote zimefuzu mara tano kwa miaka ya hivi karibuni zikipotea ghafla kwenye ramani ya soka la kiafrika tulidhani Algeria ama Cameroon ndo wangezishika hizi nafasi hila ni hizi timu. kwa maandalizi watakayofanya ndo watafika mbali na wachezaji wa  nchi hizi wana moyo na timu zao hazina matatizo ya kiuchumi Mara ya mwisho kwa Morroco ilikuwa 1998

Misri imeshiriki ama kufuzu mara  (3) tatu ni mojawapo ya timu hazijafuzu mara  nyingi  .Mara ya mwisho kwa taifa ili kuona kombe la  dunia ilikuwa mwaka 1990. mwanzoni mwa mwaka huu walifika fainali ya kombe la  mataifa la Afrika Afcon licha ya kupigwa na Camerpo. ila walifanya kitu kwenye kombe la  Afcon .Taifa hili limekuwa na ligi ambayo ni kama mhimili wa soka la  taifa hilo tofauti na mataifa mengine barani Afrika . M.Salah ashawai chezea ligi hiyo kabda hajaenda Chelsea na baadaye Roma na kutimkia Liverpool .ligi hiyo inatoa vilabu vyenye ushindani katika michezo ya mataifa barani Afrika .
Mohammed Salah ndo jina litakalovaliwa sana na mashabiki wa  misri. baada ya Nigeria kupewa nafasi kubwa na waafrika huyu anashika nafasi ya pili kwa kupewa nafasi

Senegal .imefuzu mara mbili (2) michuano hii .mwanzoni mwa mwaka huu ilikuwa ikishiriki michuano ya kombe la mataifa Africa afcon ilitolewa kwa mikwaju ya penati na jina kubwa ni mshambuliji wa Liverpool sadio mane . ukiona jezi ya Senegal imevaliwa jina kubwa na wengi watapendelea ya Sadio Mane . Senegal ni nzuri sana wanapocheza dhidi ya timu kutoka Afrika ukanda mwingine wa Dunia hatujui .

Droo inachezeshwa ijumaa ya wiki hii ikiwa imebaki siku zaidi ya 195 mjini Moscow vitu ambavyo timu za Afrika lazima wavifanyie kazi haraka iwezekanavyo
suala la  kwanza na naliwekea msisitizo  ni kuhusu masuala ya kifedha mishahara posho na mengine hasa kiuchumi ikiwa imebaki miezi chini ya sita vyama vya soka barani Afrika vitafute kila namna kwa ajili ya kuwapatia huduma bora na posho kwa wachezaji ili waweke akili uwanjani kila michuano tumeona tatizo hili katika nchi za Afrika sasa wachezaji si wazalendo kama kina Etto au drogba waliokuwa tayari kulipia timu zao hela yoyote kama kungetokea ugomvi ni mda wa kutafuta hela pamoja na mambo mengine ikiwezekana kutafuta michango kwa ajili ya kufika mbali kisoka kwenye kombe la dunia 2018
suala la  pili na la  mwisho kutoka kwangu ni kutafuta mechi nyingi za Kirafiki nche ya bara Afrika nchi kama Nigeria ishaanza ugenini kujua nini zaidi Argentina anacho mifumo na tafiti mbalimbali ikumbukwe webzetu wanacheza inter continental games kutafuta uwezo gani timu za ukanda huo zinafaanya Senegal sijapata kusikia amecheza na timu kutokea kusini America au ulaya ijaribu maana ni mzuri Afrika hatumjui kinje yukoje asje msindikizaji kombe la dunia
 
                       makala hii imechambuliwa na prosper Twitter: @checkupblittz2 Facebook: checkup blittz

Maoni