Kocha wa Colombia Jose Pekerman ameupeleka ushindi wa jana usiku kwa mchezaji Carlos Sanchez aliyetishiwa kifo baada ya kupata kadi nyekundu katika mchezo wa kwanza ambapo walipoteza.
"Ni kipindi kigumu tunabidi tujumuike nae"kikosi kizima kinajisikia hivyo"
Polisi wanafuatilia karibu matishio hayo,ambapo yaliwekwa katika mitandao ya kijamii.
Beki wa Colombia aliuwaga baada ya kujifunga goli katika Kombe la dunia baada ya siku 10 Adreas Escobar dhidi ya USA mwaka 1994.
Colombia walimfunga Poland mabao matatu kwa sifuri huku magoli yakifugwa na Yerry Mina,Radamel Falcao na Juan Cuadrano.
kombe la dunia na Prosper Bartholomew.
simu:+255716243875.
Maoni