WAARGENTINA WALIVYOKUFA WAKIKANWA

Jana usiku tuliona sinema nyingine ikiikumba Kombe la dunia ni baada ya Argentina kufungwa na Croatia huku nahodha wao Lionel Messi akishidwa kufanya chochote.

Waargentina wamekufa kwa baadhi ya sababu nyingi leo naziongelea baadhi ya sababu hizo.

Sababu ya kwanza ni mfumo aliotumia wa 3-4-3 Argentina na wachezaji anaowamiliki na uhakika ya kuwa mawing backs waliocheza jana walishidwa kuumudu na kujua hitaji na walikuwa na elimu pasivyo vitendo mda mwingine walijisahau  wanacheza kama mawinga wanasahau ya kuwa wao ni wimg halves.

Haya kwa washambuliaji walikuwa ndo basi Messi alishidwa kusambaza mipira kwa Aquero huku Mezza alishidwa kucheza namba kumi pacha na  Lionel Messi akaishia kuwa kama winga .

Mabeki nilishawai kusema Cabbalero anakosea sana si golikipa wa kumuamini sana ajiamini vya kutosha bali huchosha timu mpira kama ule unafanya uzembe golini.

Sababu nyingine ni Messi ameshidwa kuibeba Argentina ameonekana wanomzunguka wanambeba sana kiwango anacho lakini anashidwa kugeuzwa kuwa chanzo cha ushindi nadhani Messi ameshidwa kuibeba Argentina ameonekana wanomzunguka wanambeba amekuwa dhaifu na wa hasira si yule wa Hispania ameshidwa anahisi yuko mwishoni amekata tamaa si mchezaji mwenye moyo ule ule ni mtu wa kukata tamaa nahisi vingi,majuto yanamzunguka ataki kuamini machoni pake.

Maradona alikuwa hivi hivi lakini hakukata tamaa ndo maana ameonekana bega kwa bega na Argentina katika mashindano haya lakini aliishia kutoa machozi jana ni vyema kuongeza bidii na kujipanga zaidi nahisi Messi atastaafu lakini bado kuna coppa America mwakani lakini ameshidwa uzizugugwe na kizui zui nyumbani.


Jeorge Sampaoli nitamshangaa na kumstaajabu atakae mkasirikia huyu makilomita wangu akukataa tamaa ana kiu ana tamaa ya kufaulu na timu ya nyumbani Chile wako hata tayari kumpa uraia wa nchi yao bila ata ya kutumia (bureaucracy) maana coppa America 2 raundi ya 16 kombe la  dunia kitu ambacho Chile walikiona mea utopia lakini aliwafanya waonekane watishie dunia ndo kocha wa mafanikio apewe nafasi sana na muda na apewe uhuru wana hitaji kufanya marekebisho golini na mfumo.

Hili tujue uhai wa  Argentina ni mchezo wa leo waafrika ndo watamuokoa lasivyo tutawasahau kama walikuwa washiriki ni namna gani aibu inasambaa kocha kasema yuko tayari kuomba msamaa kwa Waargentina wanaoumia hawataki kuamini.

Kombe la  dunia na  Prosper Bartholomew.

Simu+255716243875



Maoni