Wikiendi iliyopita alishika vichwa vya habari baada ya kukosa mkwaju wa penati dhidi ya Iceland na kusababisha timu yake ya taifa kupata suluhu.Lakini nahodha wa Hispania Sergio Ramos amesema kuwa taifa la Argentina wanajua ya kuwa mwanasoka bora wa muda wote kwa taifa lao ni Lionel Messi si Diego Maradona.
Waargentina wakiulizwa kuhusu Diego Maradona watasema ya kuwa alikuwa na miaka bora lakini kwao watakuambia Messi ni bora sana kwa taifa lao ata mimi nikiulizwa kwa Argentina nitasema Messi.
Hayo yote yamekuja baada ya Diego kusema kuwa Ramos ajui kuongoza timu kama alivyo Diego Godin.
Ushindi wa La roja dhidi ya Iran unawapa uongozi kwa kundi B kwa sababu ya kadi ya njano ambazo Ureno ana nyingi "tuna furaha tumechukua hatua fulani"Ramos ndo alisema.
Kombe la dunia na Prosper Bartholomew.
Maoni