Ricardo Quresma ameifungia Ureno bao kabda ya kipindi cha kwanza kukamilika,mda mfupi baada ya kipindi cha pili kuanza Ureno walipata penati baada ya nahodha wao kusukumwa ndani ya eneo la hatari,Christiano Ronaldo akashidwa kufunga na kuwa Mreno wa kwanza kukosa penati katika Kombe la dunia tangu mwaka 1966.
Kipindi cha pili kikiwa kinaelekea mwishoni Iran walipata penati kutokana na mpira uliomgusa Cedric mkononi pengine VAR iliamua ni adhabu kwa Ureno goli lilifugwa na Karim Ansarifard.
Iran walikuwa wagumu na kuonesha wazito licha ya kumaliza na pointi 4 na uwiano wa magoli ukiwa ni sifuri watarudi nyumbani wakijivunia kuzitishia tibu kibao ndani ya kundi lao na kuwaonesha ubabe.
Uruguayi walisafisha nyota baada ya kucheza michezo mitatu ya makundi bila kufugwa ata goli moja na waliwafunga Urusi tatu mtungi magoli ya Suarez,Cherchev la kujifunga na Eddison Cavani watapambana na Ureno juni 30 jijini Sochi uwanjani Fishty.
Uhispania wakijikuta nyuma mara mbili huku wakiokota suluhu ya mabao mawili kwa mawili na majirani zao Morroco.
Watapambana na wenyeji Urusi julai mosi ambapo kwao mambo hayakuwa poa kwani walikumbana na kipigo cha mabao matatu kwa sifuri kutoka kwa Uruguayi yakifugwa na Cavani,Suarez,na Cherchev aliyejikuta akijifunga goli moja huku ana magoli matatu ya kufunga katika michuano hii ,
Mchezo huo utapigwa dimbani luzhiniki.
Kombe la dunia na Prosper Bartholomew.
simu:+255716243875.
Barua pepe:barthaprosper@gmail.com
Maoni