UFARANSA ILIVYOMPIGA AUSTRALIA

Timu ya taifa ya Ufaransa imejikamua kibabe kutoka kwa Australia ambapo amepata ushindi wa bao mbili kwa moja.


Ufaransa iliyoko chini ya mfaransa Didier Deschamps ilitumia mfumo wa 4-3-3 huku viungo akiwapa nafasi Kante,Pogba na Tolliso kulishika dimba ambalo wamelituliza kwa kadiri ya mchezo ulivyoelekea lakini walishidwa kufanya kutengeneza nafasi aliyeweza fanya hiyo kazi ni Pogba wengine walishidwa mtu kama Tolliso na Kante walikuwa wanakaba sana kukiko kutengeneza nafasi haya Pogba katengeneza nafasi zote za mabao kwani mpira wa adhabu uliozaa goli la Graizemann na la kwake mwenyewe.

katika nafasi hiyo ya kiungo ilikuwa makini sana wakati wa ulinzi na kudumuisha umiliki wa mpira licha si wamiliki wazuri kina kante na Tolliso nafikiri Pogba alikuwa kiongozi mzuri kwa upande wa wakati.

Sehemu nyingine iliyokuwa inatisikitisha ni ushambuliaji Mpape,Graizeman na Dembele wana mambo mengi kuliko kusaka nyavu pengine Girood atatakiwa kupewa nafasi kubwa katika michezo ijauo.


Katika upande wa Australia ilikuwa ni ushambuliaji butu uliokuwepo Kruse,Roggic,Nabbout ajafanya chochote uzembe huo ulikuwa unawaua Waustralia lakini katika eneo la kati kina Jerdnack na Mooy walimaliza shughuli faulo za Mooy zikizidisha kiburi kwani ndo umezaa penati pia ni nafasi kubwa sana kwa Australia kutatua uzembe ulioko pale mbele.

Mchezaji bora wa mchezo ni Antonio Graizemann akiwa ametembea umbali wa kilomita 6 na amefunga goli moja kati ya mawili.


Kombe la  Dunia /Uchambuzi:Prosper Bartholomew.

Simu:+25516243875.

Maoni