Baada ya mikataba mipya kwa kocha Mourcino Pochetino na Harry kane sasa Spurs wanataka kumfungia mwingine nyumba ambaye ni Delle Alli 22 ambapo watakuwa wakimpa 100,000 pauni kwa wiki (london evening).
Kocha wa Manchester United anataka saini ya mchezaji mmoja kabda ya kombe la dunia kurindima wiki hii n kila sababu inamuelekea beki wa Spurs Toby Alderweireld.
(TANGAZO) "TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA NA NUSU,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZETU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"
Liverpool wanataka kumsaini kipa wa Roma Mbrazili Allson ambaye anataka hatima yake klabuni Roma ijadiliwe kabda ya kombe la Dunia.
Liverpool watakazania sahihi ya Xhaqiri atakaporudi kutoka kombe la dunia akiwa na Uswizi.
Habari na Prosper Barthalomew.
Maoni