TETESI ZA SOKA JUMATANO BARANI ULAYA.

Antonio Graizeman amesema ya kuwa ashafanya maamuzi kuhusu timu gani ataitumikia msimu ujao huku akikataa kuweka hadharani ni wapi hapo atakapoenda.


Manchester United wamesiitisha mpango wa kumsajili beki wa pembeni wa Spurs Danny Rose ambapo walikuwa wametenga kitita cha pauni 50 milioni.

Kipa wa Manchester United David de gea inawezekana akawa katika njia nzuri ya kujiunga na mabigwa wa Ulaya Real Madrid maana ana mahusiano mazuri na Julen Lopertegui.

Chelsea wanataka kumsajili kiungo adhimu wa Aston Villa Jack Grealish na wanaweza wakamtwa kwa mkopo tena klabuni hapo.

Chelsea watapambana na klabu kama Juventus katika kumsajili beki wa Atletico Madrid Stefan Savic 27.

(TANGAZO) 

"TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA NA NUSU,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZETU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"

Kiungo wa Nice Jean Michael Sari anataka kwenda Uingereza kipindi hiki huku klabu za Chelsea na Arsenal zikiitaka saini yake.

Bado kama Chelsea watamtimua kocha wa sasa Antonio Conte basi kocha wa Napoli Maurizio Sarri ndo anapewa nafasi kubwa ya kupewa kikosi cha darajani.

Kurithi mikopa ya Julen Lopertegui pale Hispania Luis Enrique kocha wa zamani wa Roma na Barcelona ndo anapewa nafasi kubwa hiyo.

Habari na Prosper Barthalomew.

Maoni