Arsenal wanakaribia kuleta majembe mawili Emirates ikiwa mlinda mlango Leno wa Leverkusen pamoja na kiungo wa Sampodoria Lucas Torreira.
Manchester city wanakaribia kumleta kiungo Jorginho wa Napoli na dili linagaramia pauni 48 milioni linaweza likakamilika siku za karibuni.
Southampton,West ham,wolves,Sampodoria,Ac milan wana subiria Jack Wilshire afanye maamuzi ya mwisho kuhusu hatima yake klabuni Arsenal .
Maurizio Sarri anasubiria kwa hamu kama watatangazwa wiki hii kama kocha wa Chelsea huku akiangalia uwezekano mkubwa wa kumtwaa
Wakati Sarri atakapotangazwa kocha klabuni Chelsea watahakikisha wanampata kiungo mrusi Alexander Golovin kutokea Cska Moscow na Roman huenda akawa chini ya hilo dili.
Chanzo kimoja cha Ufaransa kinasema ya kuwa Liverpool bado hawajakata tamaa katika maongezi na staa wa Lyon Nabir Fekir licha ya maongezi kusitishwa wiki chache zilizopita.
Mlinda mlango wa Poland Lukas Fabiaski ana nafasi kubwa ya kutua klabuni West ham baada ya makubaliano ya pande mbili kuwa mazuri na kukaribia kuelekea mwishoni.
Habari na Prosper Bartholomew.
Simu:+255716243875.
Maoni