SUALA LA BENZEMA ATA RAISI WA UFARANSA HATAKI KUUSIKA

Raisi wa Ufaransa ameridhia kutoitwa kwa Karim Benzema baada ya kocha Didier Deschamps kufanya uamuzi huo licha ya madai ya Benzema kutokuwa na ushahidi wa kutosha katika kesi inayomkabili.

Pichani:Benzema akishangilia bao alilifunga katika ligi ya mabigwa Ulaya uwanjani Bernabeu.

Licha ya kushinda ligi ya mabigwa Ulaya mara tatu na klabu ya Real Madrid ameachwa na waandishi wa habari walimuuliza Macron atoe maoni yake kuhusu kutoitwa mchezaji huyo.

"Mimi ni rahisi wa jamhuri,si kocha wa Ufaransa" Macron alijibu

"Napenda soka na naweza toa maoni yangu,lakini mwishoni mtu mwenye maamuzi ni.Didier Deschamps ,Namuamini"

Pichani:Raisi wa Ufaransa Emmanuel Macron.

"Hii haibadilishi kiwango cha Benzema na ameonesha kwa miaka mingi nchini Hispania na anacheza vyema ligi ya mabigwa ulaya

Pichani:Kocha wa Ufaransa Didier  Deschamps

Kuna sheria kocha anazijua za mchezaji bora kama hazina basi anaweza akaaribu kundi"Aliongezea .

(TANGAZO) "TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA NA NUSU,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZEYU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"

Kombe la Dunia na Prosper Barthalomew.

Simu:+255716243875

Baruapepe:barthaprosper

Maoni