Alifichua baada ya mchezo wa kirafiki na Uturuki anatarajia kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha Urusi kitakachocheza dhidi ya Saudia,Uruguayi na Misri.
Pichani:Salah na Ramos kushoto,Kutepov kati kati ,na Suarez kulia.
"namuogopa Suarez, labda naweza nikamngata mwenyewe" kuhusu mshambuliaji Luiz Suarez wa Uruguayi
"Salah mchezo wake haunitishii" Utamzuiaje ? Labda mfano kama Ramos alichomfanyia katika usiku wa mabigwa"
"nadhani Sergio alituonesha jinsi ya kumzuia lakini siwezi sema nilifurahi maana ilikuwa fainali"
Aliongezea kwa kusema "namtakia uponyaji wa haraka na nitafurahi kama atakuwa mtayari kwa ajili ya kombe la dunia maana inatia moyo kucheza dhidi ya giniusi kama yeye"
Kombe la Dunia na Prosper Barthalomew.
Simu:+255716243875.
Barua pepe:barthaprosper@gmail.com
Maoni