Mchezaji huyo wa zamani wa Argentina amesema Messi anafanya vitu ambayo pengine wengine na mashabiki hawawezi kuamini.
"Hawezi pika? Ajui ata jiko liko upande gani ?Zabaleta akacheka katika mahojiano na BBC
"Kucheza mziki ? "Tulitoka mda mchache kwenda katika vilabu lakini si mzuri tulikaa na kunywa "
"Nilikuwa bora zaidi yake katika PlayStation, anatumia Chelsea , anapenda sana kuitumia Chelsea"
Ikumbukwe aliwakunguta magoli matatu Chelsea nje na ndani katika ligi ya mabigwa Ulaya mwezi februali na Marchi.
Sasa ivi ni nahodha wa timu ya taifa ya Argentina ambayo ilianza vibaya mashindano ya kombe la dunia linaloendelea hapa Urusi kesho watapambana na Ufaransa katika raundi ya 16 bora dimbani Kazan.
kombe la dunia na Prosper Bartholomew
Simu:+255716243875.
Barua pepe: barthaprosper@gmail.com.
Maoni