SIRI YA MACHOZI YA NEYMAR JR HII HAPA

Mshambuliaji wa Brazili Neymar Jr amelia baada ya mchezo mgumu kuisha wa kundi dhidi ya Costa Rica katika michuano ya kombe la dunia inayoendelea hapa Urusi.

Pichani:Neymar pichani.

Leo Brazili ilishikiwa chini ikiwa mlinda mlango mwenye rekodi ya kutwaa ligi ya mabigwa ulaya mara tatu mfululizo Keylor Navas akiwa ameokoa mipira mingi ambayo ilikuwa hatari katika lango la Costa Rica ,Brazili alipata ushindi wa mabao mawili ya dakika za nyongeza yaliyofugwa na Phiphe Countinho na Neymar Jr.

Katika ukuransa wake wa mtandao wa kijamii amesema amefunguka na kueleza kilichomsibu mpaka kuangusha machozi akianza na "amna mtu anayejua niliyopitia mpaka kufikia hapa"

"kulia kule ni furaha,kupitia kule na kushinda,katika maisha yangu mambo hayakuwa marahisi,ndoto inaendelea"

Na akimalizia akiwapongeza wachezaji wenzake wa kikosi hiki cha Brazili watacheza dhidi ya Serbia katika mchezo wa kufunga michezo ya makundi wiki ijayo.


Kombe la dunia na Prosper Bartholomew.

Simu:+255716243875.

Barua pepe:barthaprosper@gmail.com


 

Maoni