PICHANI:Sarri akiwa amekaa wakati Raisi wa Napoli akiwa amesimama
Hali ya hewa ndani ya Chelsea imezidi kuwa ngumu katika kiti cha ukocha huku Napoli wakiwa washamtangaza Carlo Ancelloti kama kocha lakini Napoli bado wana mkataba na Sarri ambaye ana uhakika wa kujiunga na blues wa London.
Huku kocha Antonio Conte akikiambia chombo kimoja cha habari cha Italia kuwa atajiunga nao Chelsea kama hawatamfuta kazi ifikapo kipindi cha maandalizi ya msimu.
(TANGAZO)
"TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZETU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"
Raisi wa Napoli Aurelio Laurentiuus amekiri yuko tayari kujadiliana kuhusu ruhusa ya kuondoka kwa Sarri klabuni kwake,vyombo vya habari vya italia vikisema anaitaji kulipwa pauni 3.5 milioni kutoka pauni 8 milioni kumuachia kocha huyo.
Taarifa zinaeleza kuwa Sarri anatakiwa kutangazwa jumatatu huku Chelsea wakiwa hawajamtimua kocha wao wa sasa Antonio Conte.
Habari na Prosper Bartholomew.
Simu:255716243875.
Baruapepe:barthaprosper@gmail.com.
Maoni