Inaonekana ushindi wa Argentina dhidi ya Nigeria ulikuwa ukifanisiwa na Javier Mascherano pamoja na nahodha Lionel Messi.Huku kikosi kikiwa kimepagwa na Javier na Kocha Sampaoli kikiwa kimesheheni wazee na utumiaji wa mfumo wa zamani huku Messi akicheza sehemu zote uwanjani akiwa kama chachu ya ushambuliaji.
Katika kipindi cha pili Sampaoli aliingia katika mawasiliano na nahodha Lionel Messi katika sehemu ya ufundi huku mchezo ukiendelea Ikiaminika alikuwa anamuuliza amuingize Sergio Aquero ama la hasha.
"Nimlete Kun? "klipu moja inaonesha na Messi kujibu kwa msisitizo huku akugeukia kamera.
Marcos Rojo anadai ya kuwa Messi aliwaambia wasiwategemee washambuliaji bali kila mtu apatapo nafasi ajaribu kufunga.
kombe la dunia na Prosper Bartholomew.
Maoni