Huku Los Blancos wana muelekeo wa kuwa tayari kama akitokea kuondoka klabuni hapo .
Mreno huyu anajua kuna klabu ambazo hazitaweza kufikia vigezo anavyoviitaji kama yeye lakini Madrid wamekuwa wakijutahidi kuvikinu lakini sasa inaelezeka wamefika mwisho,Ronaldo ana hasira hasira sana hasa zikiwa zimesalia siku chache kabda ya kombe la Dunia.
Pichani:Ronaldo akiwa mazoezini hivi leo mjini Ktotovo,Urusi.
Ureno wako krotovo kilomita 40 kutokea Moscow na wamekuwa wakitumia uwanja wa mazoezi wa Satum ambao una kila kitu ambacho kocha anakiitaji chochote katika mazoezi kinapatikana.
Katika kombe la Shirikisho Ronaldo alitumia mda wake kufikiria hatima yake klabuni kwake nayo mwaka huu imemsibu anaitaji kuwa na hatima nzuri ndani ya klabu hii aliyotua mnamo mwaka 2009 na huenda ikawa kombe lake la mwisho la Dunia kwani tayari ana miaka 33 na ana magoli matatu tu kwenye mashindano haya makuvwa ulimwenguni.
(TANGAZO) "TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA NA NUSU,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZETU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"
Ureno itaanza kampeni yake dhidi ya Hispania mwishoni mwa wiki hii Ronaldo anatarajia kuiongiza timu yake hii.
Katika ligi kuu mabigwa ulaya ana idadi ya goli 120 akiwa ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara tano ameisaidia Madrid kutwaa ubigwa mara tatu mfululizo ukiwa wa ligi ya mabigwa Ulaya ikiwemo msimu huu.
Makala na Prosper Barthalomew.
Maoni