NEYMAR SIRI NZITO KWENYE NYWELE

Kombe la dunia ni moja kati ya vitu vikubwa duniani na linafanyika kila baada ya miaka minne na halirudii sehemu bali linafanyika sehemu mbalimbali duniani,mwaka huu linaendelea Urusi na baadhi ya mechi zishacheza.

Neymar staa wa kibrazili anayeonekana amebeba Brazili mikononi mwake amefanya kitu maalumu ili kuonesha haya mashindano ni kitu muhimu katika maisha ya wanasoka wengi.

Amebadilisha muonekanao wake kichwani.Na hiki kitamfanya aonekane tofauti na wachezaji wengine katika kombe la dunia.

Staa huyu alisajiliwa na PSG kutoka Barcelona kwa rekodi ya dunia ya pauni 198 milioni na kuwa mchezaji ghali zaidi duniani.

Kombe la  dunia na  Prosper Bartholomew.

Simu:+25571624375.

Maoni