Pichani:Neymar akiwa anaitumikia timu yake ya taifa siku za hivi karibuni.
Alijiunga na wakali wa Paris kwa dau l
a pauni milioni 198 kutokea klabuni Barcelona nchini Hispania licha ya kuumia kwenye ligi na kukosa baadhi ya michezo kuanzia Februali lakini alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ufaransa.
Hii kuhusu kusalia klabuni hapo inedaiwa na Raisi wa klabu wa kundi linaloitwa Collectif Ultrais Paris,Romain Mobille
Huku akidai ya kuwa wameongea na familia ya staa huyo wa kibrazili baada ya kuumizwa kichwa na ujumbe na maoni ya staa huyo aliyekuwa akiyatoa.
"Tumeongea na familia yake , na yeye pia na tumesuluhuisha matatizo tuliyokuwa nayo
Neymar ni yeye aliye,lakini hana budi kuheshimu mashabiki na uma"
"Neymar anajisikia vizuri Paris na anataka kubaki,licha ya skendo zinazomhasibu"
Anahusishwa na klabu ya Real Madrid na Manchester united haswa katika dirisha hili la kiangazi la majira ya joto barani Ulaya.
Habari na Prosper Barthalomew
Simu:+255716243875.
Baruapepe:barthaprosper@gmail.com
Maoni