MWAMUZI AKANA MASHITAKA YA KUMMBELEZA RONALDO

Mwamuzi Mmarekani Mark Geiger amekana kumuomba Ronaldo jezi katika mechi ya jana jumatano kati ya Ureno dhidi Morroco.


FIFA wanadai mashitaka hayo yamefanywa na Nordin Amrabat huku mwenyewe akidai aliambiwa na mchezaji wa Ureno Pepe.

Shirikisho la soka duniani FIFA wanasema kwa nguvu kubwa na mkazo mwamuzi Geiger amekana mashtaka hayo wakiongezea Mmarekani huyo aliongoza mchezo huo kwa nidhamu kubwa sana.

(TANGAZO) 

"TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZETU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"


Ronaldo alifungia Ureno goli dakika ya nne na kuhakikisha Morroco wanatupwa nje ya mashindano hayo na likiwa goli la nne la Ronaldo katika mashindano haya ya mwaka huu yanayoendelea hapa Urusi.

Amrabat alisema hayo akiiambia chanzo kimoja cha habari cha Uholanzi "sjui mwamuzi alikuwa upande gani,lakini alikuwa anafurahishwa na Christiano Ronaldo, nmemsikia Pepe akisema je itabidi kwa mwamuzi kupewa jezi"

Kombe la dunia na Prosper Bartholomew.

Simu:+255716243875


Maoni