MANJI ARUDI NA MOTO YANGA

Yusuf Manji katika mkutano ameridhia kabisa kuidhamini klabu ya Yanga. Katika mkutano wa leo uliofanyika makao makuu ya klabu hiyo alisema kwamba atachukua timu na nembo ya timu na majengo anayakabidhi kwa timu huku akisema hasara yoyote itayotokea ni ya kwake na faida asilimia 25% itaenda kwenye klabu amesema kwamba ataunda kampuni ambayo itapangisha timu ya Yanga kwa miaka 10 huku akitaja siku ya uanzishaji wa kampuni hiyo ni Jumanne.


Pichani:Yusuf Manji akihubiria (hisani ya klabu ya Yanga) 

"Jinsi ya kuendesha timu najua jinsi ya kupambana na Azam najua " alipokuwa anaongea uwekezaji ndani ya klabu

Hilihali kikao hicho kilimrudusha madarakani Raisi huyo klabuni hapo kama Raisi wake.Klabu hii imekuwa ikikubwa na matokeo mabovu na hali yake ya kiuchumi kusuasua hasa baada ya mwenyekiti huyo kuondoka madaraka wakiambulia kupoteza taji la ligi,kombe la FA na kuondoka kwa kocha wao Lwandamina 

Habari na Posi Figo.

Simu:+255629436561.

Maoni