KUMBE RAMOSI,INIESTA NA SILVA WALISHIDWA KUTULIZA PRESHA

Baada ya Lopetegui kutangazwa kocha wa Real Madrid Raisi wa shirikisho alibadilisha mawazo kulikoni aende katika kikaocha FIFA kilichokuwa Moscow na kuamua kwenda Kransnador ambapo Hispania walikuwa kambini kwa mazoezi.


Alipofika katika maongezi yaliyoshirikisha Kocha Julen na manahodha wa timu Ramos,Iniesta na Silva huku wazima wa timu Gerrald Pique,Pepe Reina na  Sergio Bouquet huku Hierro aliambatana na Raisi bwana Luis Rubbiales.

Raisi alionekana mwenye hasira hata wakati viongozi walikuwa wanamtaka kumtuliza alikuwa anashindikana hasa Sergio Ramos mda wote wa maongezi alionekana kama mtu mwenye majeraha makubwa huku akiwa ashaita kikao na waandishi wa habari lisaa limoja na nusu tangu hawasili hapa.

Baadaye alitokea kwenye kikao na waandishi wa habari akiwa mwenyewe kila kitu kilijionesha wazi ya kuwa ilibidi mtu kukosa unga wa kupikia ugali huku akilaamu sana timu ya taifa ni ya taifa na kombe la  dunia huja baada ya miaka minne si rahisi kupoteza nafasi hiyo.

Maoni