Katika mkutano wa Shirikisho la soka ulimwenguni wa 68 uliokuwa ukiendelea mjini Moscow wamefikia uamuzi wa kuwapa kibali Marekani,Mexico na Canada kuandaa mashindano hayo .
Mashindano haya yamerudi katika Marekani ya Kaskazini kwa mara ya kwanza katika karne ya 21 mara ya mwisho ilikuwa 1994.
(TANGAZO)
"TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA NA NUSU,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZETU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"
Marekani ya Kaskazini imeishinda Morroco kwa kura 134 kati ya 65 katika upigaji wa kura hizo.Inategemewa kuwa mashindano ya kwanza yanaandaliwa na nchi tatu takribani mechi 80 zitapigwa 60 Marekani , 10 Canada na 10 nchini Mexico.
Maoni