Hispania inaudwa na washambuliaji watatu hatari katika lango la adui huku ikiwa na huduma ya Diego Costa,Rodrigo Moreno pamoja na Iago Aspas.
Pichani:Diego Costa na Iago Aspas wakisherekea bao dhidi ya Tunisia uwanjani Kransnador.
Kocha huyu amekuwa akiwapa nafasi
lakini wote wamekuwa sawa tu jana usiku katika mchezo dhidi ya Tunusia Rodrigo alitolewa kwa Costa na baadaye Costa alimpa pasi ya bao Aspas.
"kucheza wawili mbele ni uamuzi wa kocha,nmekuwa nikijitahidi kwa nafasi nazopewa" Mshambuliaji huyo wa Celta alisema baada ya mchezo huo aliyefunga goli dakika ya 84 lilohususha Bosquet Costa kabda ajalitia kimiani.
(TANGAZO) "TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA NA NUSU,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZEYU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"
Kesi sasa iko kwa Lopertegui anayetakiwa kuwa wa mwisho katika maamuzi kabda ya mchezo wao wa kwanza jumamosi tarehe 16 dhidi ya mabigwa wa ulaya 2016 euro.
Kombe la Dunia na Prosper Barthalomew.
Simu:+255716243875.
Barua pepe:barthaprosper@gmail.com
Maoni