KIPA WA ICELAND KATEMA CHECHE SIRI NZITO KUDAKA PENATI

Argentina walichanganyikiwa baada ya kujikuta wakisuluhu na Iceland katika mechi yao ya kwanza ya kombe la dunia.

Huku mlinda mlango wa Iceland  Hannes Halldorsson akiokoa baadhi ya michomo hatari ikihusisha na ule wa adhabu ya penati.


PICHANI:kipa wa Iceland akiokoa penati ya lionel Messi.

Mlinda mlango huyu alikuwa na ya kusema baada ya mchezo huo kumalizika na kuwa mchezaji bora wa mchezo,

"Nilikuwa nmefanya baadhi ya majaribio nyumbani,nilikuwa najua hili tatizo litatokea"alisema

"Nilikuwa nmemsoma Messi na kujitahidi kuwepo kichwani mwake"

"Mimi kama mlinda mlango,nachezea Iceland na kombe la dunia tunashiriki kwa mara ya kwanza kucheza na mchezaji bora duniani na kudaka penati ni furaha"

(TANGAZO)

"TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZETU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"

"Ni ndoto yakuwa kweli" "tumechukua alama muhimu sana katika mchezo wa leo ni kujitahidi kufikia malengo yetu kama timu"

Mchezo mwingine ni dhidi ya Nigeria ijumaa ijayo.

Makala na Prosper Bartholomew.

Simu:255716243875


Maoni