JUSTIN KLUIVERT KATUA ITALIA

Mtoto wa gwiji wa Soka Patrick Kluivert ametua klabuni Roma kwa ajili ya vipimo vya afya kabda ya kujiunga na wababe hao wa Italia.

Winga huyo alinaswa alipotua uwanja wa ndege wa Rome Fiumiciano jana jumatatu na anatarajia kufanyiwa vipimo kabda hajajiunga na waitaliano hao leo jumanne.Alikuwa anasakwa na klabu ya Manchester united kabda ajaamua kwenda Italia anakosadikiwa atasaini kwa dili la usajili la euro 20 milioni


PICHANI:kluivert akiwa na jezi ya Ajax.

Akiwa na miaka 19 tu msimu huu amefunga mabao 10 katika michezo 30 aliyochezea Ajax msimu huu.Ikiwa alianza kucheza kwa mara ya kwanza timu za wakubwa januari 2017.

(TANGAZO) "TUNATANGAZA MATANGAZO YOTE PICHA ,YA VIDEO ISIYOZIDI DAKIKA MOJA NA NUSU,NA MANENO PIA KWA BEI RAHISI SANA HASA KIPINDI HIKI CHA KOMBE LA DUNIA SIKU MARA TATU NA BONUSI YA KUTANGAZWA KWA SOCIAL MEDIA ZETU ZOTE WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"


Tayari ameshaichezea timu ya taifa ya wakubwa mwezi marchi mwaka huu.Kluivert mdogo ameitumikia Ajax academia na timu ya taifa katika ngazi mbalimbali ikiwa Baba yake alichezea Ajax mwaka 1994 mpaka 1997 kabda hajatimkia Ac Milan na Barcelona kwa miaka 14 huko akiliweka jina lake katika vichwa vya wanasoka wengi duniani.

Habari na Prosper Barthalomew.

simu:255716243875.

Maoni