HAZARD HAJA NA YAKE CHELSEA KUCHANGANYIKIWA

Eden Hazard amesema atasubiria kuona mipango tabiti na masuala yanaendaje magharibi mwa London kabda ajachukua uamuzi wa kuondoka ama kubaki klabuni hapo.

Hazard aliyezungukwa na taarifa za kuiama klabu hiyo kwa sasa amesema anataka kujua kama kuna mabadiliko yoyote kuhusu klabu na ujumla hasa ukocha.

Pichani:Hazard akishangilia ubigwa wa FA waliotwaa msimu huu

Staa huyo alidiliki kusema mwezi uliopita anasubiria kwa hamu wachezaji gani wanasajiliwa na Chelsea katika majira haya ya kiangazi kabda ajafanya maamuzi yoyote klabuni hapo .

Vyumba vya waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya Costa Rica jumatatu alisisitiza anataka kuona klabu yake ikisajili kipindi hiki cha majira yakiangazi.

(TANGAZO) "TUNATANGAZA NAFASI ZA MATANGAZO KWA BEI RAHISI MATANGAZO YANAWEZA YAKAWEPO KATIKATI YA HABARI  MAKALA,UCHAMBUZI ATA KOMBE LA DUNIA AMA MBELE YA BLOG AU SEHEMU YOYOTE NI HITAJI LAKO TU WASILIANA NASI KUPITIA 0716243875"

Chelsea walimaliza watano kwenye ligi kuu uingereza na kushinda FA na kuishia nusu fainali ya Kombe la ligi na raundi ya 16 bora ya ligi ya mabigwa ulaya.

Habari na Prosper Barthalomew.

Simu:+255716243875.

Baruapepe:barthaprosper@gmail.com

Maoni