Raisi wa chama cha soka cha Palestina Jabril Rajoub ameadhibiwa na chama cha soka Ulimwenguni FIFA kuhusu kauli yake ya kutaka jezi za staa wa kiargentina Lionel Messi kuchomwa moto.Chama cha soka FIFA ijumaa kilisema.
Argentina waliahirisha mchezo wao wa kupasha misuli dhidi ya Israeli wiki chache zilizopita baada ya tishio kutoka kwa wapalestina.
Mara ya kwanza mchezo ulikuwa ukapigwe Haifa lakini ulipoamishiwa Jerusalem ndo mzozo ulikuwa moto na kuamua kuvunjwa kwa mchezo huo na hapo ndo Rajub akatoa ruhusu kwa watu kuchoma jezi ya mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi.
Hata hivyo mshindi huyu mara tano wa balloon d'or alishidwa kufunga azabu ndogo ya ndani ya boksi alimaarufu kama penati ambapo ilisababisha kusuluhu na wageni katika kombe la dunia Iceland.
Makala na Prosper Bartholomew.
simu:+255716243875.
Maoni