BRAZILI YAFANYA YALE YA SIMBA KATASI TATU

Baada ya suluhu ya 1-1 dhidi ya Uswinzi Brazili wamelalamikia goli la kusawazishwa lilofugwa na Steven Zuber wa Uswinzi.

Brazili wamelalamikia kuhusu matukio mawili ambapo VAR wameyapotezea juu juu huku yakitajwa ikiwemo goli la Steven Zuber ambapo wanadai Miranda alisukumwa pia wakijumuisha kukataliwa kwa penati ambapo mshambuliaji wao Gabriel Jesus alichezea rafu na Akanji na maafisa wa VAR walionesha kupotezea juu juu.
Brazili wameandika barua yenye karatasi tatu wakiuliza shirikisho la soka la FIFA kuhusu kufanyiwa ndisivyo wakati kulikuwa kuna uwezo wa kuuliza na kubadilisha maamuzi katika barua hiyo ambapo (Prosper Bartholomew) amezipitia zimeandikwa je refa wa VAR alitoa taarifa je refa wa kati aliuliza au kulikuwa na majibu gani baina yao?



Kombe la dunia na Prosper Bartholomew.
Simu:+255716243875.
Barua pepe:barthaprosper@gmail.com.



Maoni