Wachezaji wa kikosi cha Real Madrid wako wote fiti isipokuwa beki Mhispaniola Nacho Fernandez kuelekea mchezo wao wa ligi ya mabigwa ulaya dhidi ya Juventus dimbani Alianz jijini Turin nchini Italia.
Kutokuwepo kwa majeruhi na wanaokabiliwa na makosa ina maana kuna mda mgumu kwa kocha huyu raia wa ufaransa kufikiri sana katika upangaji wa kikosi mathalani atatakiwa kumpanga mmoja kati ya Isco,Vazquez,AnsenItalia Carvajal,Balle.
Wachezaji wanaoaminika wataanza mchezo wa leo ikiwa na Keylor Navas , Casemiro, Carvajal,Ramos,Kroos,Benzema,Marcelo,Verane,Ronaldo nafasi moja ndo atatakiwa kufikiria haswa.
Katika hali hiyo ajue Isco aliitundika Argentina hatrick katika ushindi wa mabao 6-1 akiwa na jezi ya hispania huku Bale alifunga mabao mawili katika mchezo wa wikiendi iliuopita huku Ansensio akiwa ana kipaji cha hali ya juu na Vazquez alisaidia upatikanaji wa bao katika mechi ya ugenini dhidi ya PSG.
Habari na Prosper Barthalomew
simu: +25516243875
barua pepe: barthaprosper@gmail.com
Maoni