Mshambuliaji wa Chelsea Alvaro Morata jana amefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee aliyefunga mabao mengi kwa kichwa katika msimu mmoja wa Premier League, ambapo mpaka sasa Morata amefunga magoli (7). Rekodi hii ilikuwa inashikiliwa na Gus Poyet aliyefunga magoli (6) ya vichwa katika msimu wa 1998/99.
Takwimu za Alvaro Morata
Amefunga Magoli (11)
Ametoa pasi za mwisho (5)
Amefunga Magoli (7) kwa kichwa
Amefunga Magoli (3) kwa mguu wa kulia
Amefunga Goli (1) kwa mguu wa kushoto
Habari hii imeandikwa na Francismtz.


Maoni