Baada ya suluhu ya mabao mawili Kwa mawili kati ya bigwa mtetezi wa laliga Real Madrid Na Levante kocha wao Mfaransa Zidane ameendelea kusisitiza licha ya kuwepo nyuma Kwa alama18 hatakaa aseme ya kuwa shindanio la limeisha mpaka hatua ya mwisho.
Walikuwa mbele kabda ya dakika ya 88 waliporudishiwa goli kutoka Kwa Muitaliano Giammpaolo Pazzini .Goli lililowaacha alama 18 kwa kinara wa ligi Barcelona.
"Nitaendelea kusema ya kuwa bado ligi ijaisha " baada ya mchezo alichosema
"Bado kuna alama nyingi za kuchezea
tumepotezo mbili tulizokuwa tumezishapata kutoka mchezo tuliouongoza "tulitaka ushindi wa tatu mfululizo na tumeukosa "
Kutoka hali nyingine Ronaldo hakufuraishwa ukilinganisha alitolewa dakika chache kabda wajarudishiwa goli mawili ya Los Blancos yalifugwa na nahodha Sergio Ramos na Kidingi mhispaniola mchezo Isco .

Maoni