Chelsea inatarajia kumkaribisha Barcelona ya nchini hispania katika mchezo wa ligi ya mabigwa ulaya jumanne hii Stamford Bridge saa 4:45 usiku .
Barcelona ni klabu pekee laliga msimu huu ambayo ijafugwa katika michezo 24 ya ligi hiyo ikiwa imepoteza mchezo mmoja tu katika mshindano yote.
Klabu hii inatumia mfumo wa 4-4-2 na 4-3-3 wana viungo bora wanaoutawala mchezo katika michezo.Wana mabeki wa pembeni ambao wana shambulia kuisaidia ushambuliaji wa timu hii ubovu wao tu upo kwa beki wawili wa kati yaani Pique na Umtiti ambao wana mchezo wa kumsahau mshambuliaji wa kati na kiungo mshambuliaji.
Viungo wa Chelsea watawazia zaidi kutibua mipango ya Barcelona wakiwa wanaongozwa nq Ngolo Kante na Bakayoko huku viungo wa pembeni wing back nao wakijumuika kuitumbua mipango mikali ya viungo kina Rakitic ,Paulinho,Iniesta.
Katikati ya dimba Chelsea atakuwa amenyooshwa zaidi kwani ana uwezo ata kidogo wa vuungo hawa wa Catalinia basi Chelsea mfumo wake wa mabeki watatu kati viungo watano mpaka wanne na washambuliaji watatu mpaka wawili utamsaidiaje ? Labda kutofugwa magoli mengi au ushindi mwembamba.
Barcelona katika michezo mitatu ya mwisho kashinda mmoja na suluhu mbili ushindi wenyewe ukitokea ugenini na Chelsea katika mechi tatu za mwisho ameshinda mbili na kupoteza mmoja yaani alizoshinda alikuwa nyumbani usiku zote ! Je nani kati ya Conte au Vqlvede katika ligi ya mabigwa ulaya.
makala na Prosper Bartholomew.
baruapepe: barthaprosper@gmail.com.
Simu: +255716243875.

Maoni