Wakati mashabiki wa Barcelona wakiwa wanapata usingizi vizuri kutokana na mchezaji bora katika historia hiyo Lionel Messi alipotia saini mkataba mpya Novemba na kuwa mchezaji anayelipwa ghali zaidi duniani,siri nzito ya mkataba huo imefichuka katika mkataba huo unaowapa usingizi mashabiki wa Barcelona.
Kutokana na tatizo la kisiasa linaloendelea nchini Hispania katika jimbo la Catonia linalodai uhuru wake endapo Catonia itapata uhuru wake Lionel Messi alipendekeza yake. Mchezaji huyu alipendekeza kama hawatakuwa katika ya Uingereza au Ujerumani au Ufaransa basi atafanya yafuatayo.
Kubaki katika laliga huenda ikawa suluhisho la mwishoni kwa klabu hii ya Catolinia na kupewa kibali maalumu cha kufanya michezo kupitia mfumo wa laliga katika nchi ya Hispania na kibali cha usafiri kwa klabu za Hispania na hiyo ya Catalonia.
Katika makubaliano ya Novemba ya mkataba wa Messi yalikuwa kama kuondoka klabu inayomuhitaji ingebidi itoe dau la euro milioni 700 lakini kama Klabu hii ya Catolinia itashidwa kufanya hayo Messi aliyopendekeza Messi ataondoka bure bila ata kutumia kipengele cha mauzo .Yaani ataondoka kwa usajili wa bure.
Staa huyu wa Barcelona amefunga mara 15 katika laliga msimu huu akiwa amesaidia pia Argentina kufuzu kombe la Dunia mwaka huu baadaye , pia amefunga mara 3 katika ligi ya mabigwa ulaya Barcelona wana Imani ya kutompoteza mchezaji bora katika historia ya klabu hiyo.
Makala na Prosper Bartholomew.
simu :/+255716243875.
Barua pepe (EMAIL) : barthaprosper@gmail.com.
Twitwer : Prosperbartha.
Maoni