ZIDANE : HAKUHITAJI MABADILIKO , BARCELONA WAMECHOKOZA TU KAZI NDO IMEANZA

Klabu ya Real Madrid ilikubali kipigo cha mabao matatu kwa sifuri kutoka kwa Wacatalunia Klabu Barcelona,mashabiki wa klabu hii ya Madrid wanafikiria kuwa wamepoteza ubigwa walioupata msimu uliopita.

Kocha Zidane alifurahishwa sana na kiwango cha timu yake katika kipindi cha kwanza huku akiona kama ubovu ulitokea katika kipindi cha pili

"Tulifanya vibaya sana katika ulinzi " hatuendi ukichaa " ni vigumu kupoteza mchezo hamna haja ya mabadiliko "

"tulianza vizuri sana hasa kipindi cha kwanza kipigo hiki kinauma sana " Mchezaji huyu wa zamani wa hapa alisema .

"hii ni ngumu kwetu kwani mpira huko hivyo lazima tukubali "

Ndo akaanza kutuambia kuhusu kutokata tamaa na ubigwa wa laliga msimu huu .

"hatukata tamaa " alifanyia msisitizo
" sasa tunabidi tuende likizo tufurahie na familia zetu na turudi "
"kazi bado ijaisha "

na alisema alifanya uamuzi wa kumuanzisha Mateo Kovacic ili kumuangalia Lionel Messi na alikiri alifanya hivyo na kwa uchambuzi wangu Mateo alifanya kazi yake vizuri dakika 60 mpaka alipotelewa .

"Kovacic alibidi amwangalie Lionel Messiah na alifanya hivyo "

makala na Prosper Bartholomew.
simu :/+255716243875.
barua pepe : barthaprosper@gmail.com.

Maoni