WIKI YA SALAH KUJAZA KABATI

Muongozaji kinara wa mabao ligi kuu Uingereza na mpachikaji mahiri wa magoli katika kikosi cha Liverpool Mohammed Salah amepata tuzo ya mchezaji bora wa mwenzi novemba.

Mchezaji huyu anayeitumikia Misri kama timu ya taifa na anatarajia kuiongoza mwakani kwenye kombe la Dunia 2018 amepachika mara 13 .

Mwanzoni mwa wiki hii alitangazwa kama mchezaji bora wa mwaka wa BBC wa Afrika.

 Tuzo hii hutolewa kwa mchezaji aliyefanya vyema ndani ya mwenzi huenda kwa jina la EA SPORT player of the month.


Maoni