Chama cha mpira cha Ulaya -UEFA chini ya Raisi Aleksandr Geferin ametangaza viwanja mbalimbali vitakavyotumika katika michuano ya mataifa ya Ulaya mwaka 2020 na wanatarajia kutumia mfumo mpya
Mashindano haya yanatarajia kutimua vumbi tarehe 12 mwenzi wa sita mpaka fainali kupigwa tarehe 12 julai mwaka 2020.kwa mfumo mpya wa mechi za makundi kucheza ulaya nzima
Miji itakazofanyika mashindano haya ni pamoja na:
KUNDI A:ROME & BAKU
KUNDI B: St Petersburg & Copenhagen
KUNDI C:Amsterdam & Bucharest
KUNDI D:London & Glasgow
KUNDI E:Bilbao & Dublin
KUNDI F: Munuch &Budapest
Miji itakayoshirikisha timu hatua ya mtoano raundi ya 16 bora :
Copenhagen ,Bucharest , Amsterdam, Bilbao ,Budapest, na London
Hatua ya robo fainali miji itakayokaribisha michezo hiyo ni: Munich ,Baku , Rome ,na st Petersburg.
katika hatua ya nusu fainali na fainali zitafanyika uwanjani Wembley London . pia mechi tatu za makundi zitachezwa uwanjani hapo huku Brussels mji mkuu wa ulaya umenyimwa haki ya kuchezesha fainali kutokana na kuchelewesha haki ya michezo hiyo . kiwanja cha Wembley kinaweza kikaribisha watu 90,000 kuhudhuria mchezo mmoja .
Raisi wa Uefa Alexander Geferin amesema yote haya alipokuwa makao makuu ya shirikisho hili Nyon Uswinsi
Maoni