Mshambuliaji hatari barani ulaya Christiano Ronaldo amenyakuwa tuzo ya mchezaji bora ulimwenguni mara mbili mfululizo pamoja na kufikisha idadi ya Tuzo tano za Ballon d'or
KWA NINI RONALDO SI MWINGINE ?
Mshambuliaji Christiano Ronaldo amewapiga kikumbo hatari mahasimu wake Lionel Messi na Neymar Jr .
NGAZI YA TAIFA TOFAUTI NA WENZAKE?
Akiwa na Ureno aliipeleka kombe la mabara na kuhakikisha wanamaliza nafasi tatu za juu licha ya kutochez mchezo wa mshindi wa tatu Ila katika kundi na hatua ya mtoano ndo alikuwa moyo wa timu alihakikisha wachezaji wake wako bora muda wote ,Wamefunzu kombe la dunia ,labda Neymar na Messi wamesaidia kuzipeleka kombe la dunia lakini hawakuzipeleka timu zao linebacker kombe la bara yao ili washiriki kombe la shirikisho pia taifa lake halina majina makubwa lakini Mshambuliaji huyu anahakikisha wenzake wako bora na kupata chochote ukilibganisha na mataifa ya mastaa wengine ni mtu anayejutuma kwa ajili ya utaifa wake ndo maana wareno wanamchukulia mungu wao mwingine katika Soka ngazi ya kiaifa
NGAZI YA KLABU ? Neymar Jr kahama kutoka Barcelona Ila mziki wa msimu uliopita waliuonja Cristiano Ronaldo alihakikisha klabu ya Real Madrid inabeba mataji mawili kwa mara ya kwanza UEFA -CL pamoja na Laliga Santander.
katika hatua hiyo klabu ya Real Madrid ikawa klabu ya kwanza kubeba Uefa -CL mfululzo mara mbili .
kitu kilichowasha moto zaidi walishinda kombe la klabu bigwa duniani ata msimu huu anashiriki pia .
Alkuwa mfungaji bora katika mashindano ya Ulaya msimu uliopiya na bado anaendelea na moto uleule
Na kinara wa mabao ulaya anashikilia yeye akiwa na magoli zaidi ya 111.
Alitunikiwa tuzo ya mwanasoka bora wa ulaya katika mashinadano ya Ulaya pia FIFA hawakumnyima kwa ni tungeandamana .
Ronaldo amebeba taji la Spanish Super cup tunasubiria kombe gani ataliongeza kabatini mpaka tuzo zijazo kweli Christiano Ronaldo ameifanyia kazi tuzo hii.
Ronaldo Jana pia ameweka rekodi ya kufunga kila mechi aliyocheza msimu huu klabuni Real Madrid katika ligi ya mabigwa Ulaya sasa analingana na Lionel Messi mwenye magoli 60 katika mechi za makundi ina maana Ronaldo ni mchezaji wa kwanza ulaya kufunga kila mchezo wa makundi katika ligi ya mabigwa Ulaya
Makala na prosper
barua pepe:barthaprosper@gmail.com
simu:+255716243875
Maoni