UCHAMBUZI : CONTE AWATULIZA NEWCASTLE ,SIRI YA BARCELONA KUTOSHINDA HII HAPA NI NZITO, AKILI ZA MAN UNITED ZILIVYOWAPONZA ARSENAL HIZI HAPA.
CHELSEA VC NEWCASTLE UNITED: klabu ya Chelsea imesambaza kipigo kwa Newcastle cha mabao matatu kwa moja magoli yamefugwa na Hazard mawili,Morata moja na Newcastle akifunga Gyle.Antonio Conte ameamua kufanya mabadiliko mbalimbali kwenye kikosi kilichoanza dhidi ya Newcastle Victor Moses karudi uwanjani,Drinkwater akipata nafasi ya kumaliza mchezo leo . Kocha Antonio Conte ameamua kujaza vuungo wengi katikati ukilinganisha na msimu uliopita ambapo matic na kante ndo walikuwa washika dimba sasa amna matic hana budi maana Bakayoko ameshidwa kufanya kazi ya matic kwa hiyo kuwapa moyo wachezaji wa nyuma mabeki hana budi kuweka watu watano katikati na kuachana kuweka wanne
Fabregas na Drinkwater wamefanya kazi nzuri kwenye kuanzisha mashambulizi huku Kante akifanya kazi safi kwenye kukatisha mashambulizi Moses akijaribu kufanya mashambulizi mbalimbali na kuanzisha mashambulizi pembeni na amechangia kwenye goli la penati,
Eden Hazard anazidi kuongeza na ashaanza kwa kuonesha yupo fiti kama msimu uliopita alisumbuliwa na majeraha mwanzo wa msimu nafikiri leo amekuwa ( man of the match ) mchezaji bora wa mchezo huku naona angefunga goli 4 mpaka 3 mchezo wa Leo alikuwa na nafasi kubwa sana katika mchezo wa leo na amekuwa na mashambulizi ya hatari sana katika eneo la adui. Sasa amefunga magoli nane katika mashindano yote Uefa akiwa na magoli matatu na ligi magoli matano na yaliyomkabili zaidi mwanzo wa msimu ilikuwa majeraha. Newcastle bado hawana ile confidence ya mchezo mechi tano sasa na ameokota alama moja tu kijana kama Ritchie hajacheza katika kiwango tulichokitegemea Murphy ajawa mtu yule wa hatari katika lango la adui pindi anapopat mpira shevley kaingia dakika za mwishoni dakika ya 72 na alionekana kutoa pasi zilizokuwa na presha kwa adui Ayoze Perez hakuwa katika kiwango cha kuiteka na kushambulia timu pinzani sasa Newcastle wamepata alama 1 kati ya michezo 5 ya ligi ya hivi karibuni huku Chelsea akiongeza kutofugwa na kufikisha michezo saba ya ligi hajapoteza na amepata suluhu 1 na kushinda 6 ni hatua kwa kocha Conte.
BARCELONA VC RC CELTA : 2-2 Messi,Suarez -Aspas,Maxi Gomez :Mchezo ambao watu wanaulalamikia kwa kuunguza majamvi ya watu ni huu basi, labda kocha wa Celta Unzue kacheza pale ,pamoja na Valdere na msimu uliopita makamu wa kocha chini ya luis Enrique ndo kimempa kiburi cha kupata alama mbele ya vijana hawa hatari laliga kwa sasa ,Barcelona si nzuri kwenye ulinzi sana hasa mabeki wa katikati misimu michache iliyopita viungo wa Barcelona walikuwa wanaumiliki mpira mwanzo wa mchezo mpaka mwisho siku hizi kuna tofauti kidogo amna kiungo mshambuliaji wa pembeni mwenye zile hatari kama Neymar,haya deolofeu si wa kiwango cha mbrazili yule Dembele basi 75 ya Neymar majeruhi . Suarez kazidi kuwa mchofu kiwango si kama cha misimu miwili iliyopita ana hatari na goli tena anamtegemea tu messi na messi ndo nguzo ya timu kweli inachosha , labda move zote zilizofanywa na Celta mguu wa huyu kijana Iago Aspas , goli la kwanza nasema poor making no umtiti wamepanda wote alyebaki pique nae katulia ajawazia Aspas kadrive katoa pasi ikashidwa akafunga goli la kwanza ...... la pili Iago aspas anamkimbiza umtiti misuli inakaza amna wa kuziba pengo maxi Gomez anaomba analilia pasi anpewa anafunga kama wangemshulikia Aspas ingebaki stori bado. Maelewano mazuri kati ya Messi na Jordi yanatupa raha wanasoka wanaonana uwanjani wanatia presha kwa timu pinzani Messi yuko na bado ana kile Barca wanachokitaka na ndo maana Barca wanamlipa zaidi ya mchezaji yoyote duniani sasa ana magoli 13 katika ligi na move ya goli la pili likuwemo goli dhidi ya Valencia .Messi akipata jeraha na Suarez aendelee na Uchovu barca itabaki stori .Barca watafute kiungo wa kumlisha Messi zaidi ya wanaokaba Rakitic anakaba Sergio hivyo paulinnho ,Roberto, Countunho ata kwa dawa anahitajika klabuni hapo. .A.Iniesta akikosa mambo huwa machungu nae ana kaba watafute kiungo kazi yake ni kusuply si kuja kesho karudi kiungo namba 8 namba 6 kumi kunapwaya messi anakuwa 10 mawinga wanapwaya amna wings wa kusumbua timu inakuwa inateseka mabadiliko yafanywe wana namba 8 alafu hawana viungo walishaji Messi Deolofeu Dembele Suarez Alacer wanahitaji wachotewe wakijazie matumboni (nyavuni)
ARSENAL VC MANCHESTER UNITED : 1-3
Ushindi wa mabao matatu kwa moja ni ushindi mkubwa sana dimbani Emirates, kwa Arsenal amepoteza kitu kikubwa hasa Confidence kapigwa nyumbani . Ana mechi takribani mbili ugenini anaenda kwa Southampton na West ham wapinzani watajifunza kwa mapungufu aliyoonesha katika mchezo wa jana. Arsenal kafugwa magoli ya Counter attack yote matatu amekuwa na mashambulizi mengi zaidi ya mpinzani ,United walicheza 10 kuanzia dakika ya 76 . Mzee Wenger hakuona aja ya kutafuta mbinu ya kumvuna samaki huyu magoli ya United ya mapema na uzembe ubovu goli la kwanza Valencia kwa pogba mabeki wanne wakafuata pobga akabaki Valencia free na lukaku akarudisha kwa Valencia akaunganisha kushoto mwa goli mlinda goli Cech alijitahidi kadiri ya uwezo wake aya goli la pili huenda tukasema maumivu ya mustafa lukaku kwa lingard martial lingard anafunga kushoto mwa goli mpira unaingia ,la tatu simple counter attack dakika ya 73 pogba anapiga grosi amna wa kumaki lingard anayepata man of the match,Mfumo wa lingard kama kiungo mshambuliaji martial na lukaku ulitoa mchango wa goli la pili Akili kubwa za united ilikuwa mashambulizi ya kushitukiza Arsenal hawezi kuzuia hivyo vitu vina madhara kwake united anajiamini ligi ana uwezo wa kuichukua kuifunga Arsenal Emirates iliyomtesa Spurs ni hatua kubwa
Degea ameokoa mara 14 katika chance 33 za Arsenal world class display kwa Mhispaniola huyu na nashangaa kwa nn hakutajwa kwenyr tuzo za golikipa zilizofanyika london ,Arsenal walimiliki kila kitu katika kipindi cha pili nafikiri walikuwa bora zaidi Man united alibadilisha mfumo kutoka wa beki tatu wa kipindi cha kwanza katika kipindi cha pili Valencia na Young walikuwa hawafanyi kama vile mwanzoni nadhani Mourhino ni tactical coach pia uwezo binafsi wa wachezaji kama Degea maana mda mwingine beki wa united walikatika Lacazette alkuwa na nafasi nzuri nyingi akashidwa kuzigeuza nafikiri Arsenal wanaanza kurejea kwa kiwango chao Manchester united wanitume ivyo ivyo si kwa mchezo mmoja wajiandae vyema kuikabili inavyotakiwa Manchester city Paul Pobga anaukosa mchezo huo na ni muhimu kwake ni fikra nyingine Mourhino aanze kuuwazia akili za Arsenal akiweza kuzi apply kwa city bado kuna nafasi ya kushinda na ushindi wa Jana utawapa moyo wachezaji kujitanua uwanjani OT.
UCHAMBUZI na prosper
MAONI PIGA SIMU :+255716243875
BARUA PEPE:barthaprosper @gmail.com
Maoni