Mashabiki wa Liverpool watakuwa wafuraha kwani ushindi wa mabao saba kwa bila unawapeleka kwenye raundi ya 16 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009
Jana usiku klabu ya Liverpool ilisambaza kipigo cha mbwa kwa Spartak Moscow cha mabao saba kwa bila na kupita mpaka raundi ya 16 nahodha philiphe Countinho alifunga mara tatu ,na Msenegali Sadio Mane akifunga mara mbili na firmino moja pamoja na Muhammed salah moja
Maoni