TORINO WAWAKUMBUKA CHAPOCOENCE KIVINGINE WATIA HAMASA KWA KLABU NYINGINE

klabu ya Torino inayoshiriki ligi kuu Italia  maarufu kama serie A walifanya kuwakumbuka wachezaji wa Chapocoence waliopoteza maisha kwa ajali ya ndege Colombia mwaka mmoja uliopita kwa kubadilisha rangi ya jezi  hiyo na kuvaa kijani katika mchezo wa ligi kuu Italia dhidi ya klabu ya Atlanta uwanjani Stadio Olympio

katika kumbukumbu hiyo ni kuwaonesha kuwa nao wapo nao pamoja wachezaji hao walipata ajali wakati wakielekea katika mchezo wa fainali Colombia ikiwa ni klabu kutoka Brazil

klabu ya Torino mwaka 1949 walipoteza nao wachezaji 18 nyota wa klabu hiyo  kutokana na ajali ya ndege ilibidi wavae hivyo kuwakumbuka nyota wote wao

katika mchezo huo walipata suluhu ya bao 1 kwa 1 la kwao lilifugwa dakika ya 45+1 na la kusawazishwa dakika ya 54.

Katika meza ya uchambuzi haya matukio ya kukumbuka kuonesha pamoja ni moja katika mchezo wa mpira miguu ukifanya hivyo inatia hamasa kwa wafiwa na ulimwengu kuupenda mpira Mimi kama Mimi tuige mfano huu katika matukio mbalimbali yanayotusibu katika familia mpira unajenga its charity sport .      

Makala na prosper

Maoni