Kiungo wa Klabu Barcelona Arda Turan anatarajiwa kuondoka klabuni Barcelona na huenda akatua kunako Besktas ya Uturuki .
Ataruhusiwa kucheza dhidi ya Bayern Munich kwa sababu ajawai kujumuishwa katika kikosi cha Barcelona cha UEFA.
Anatajwa pia katika klabu ya Arsenal ya ligi kuu uingereza.
Angel Di Maria inaonekana alikaribia kutua klabuni Barcelona katika dirisha la majira ya Kiangazi kwani aliinesha furaha ya ushindi wa Barcelona zaidi ya klabu yake ya zamani kwa kutuma picha mbalimbali Barcelona wakishangilia ushindi huo.
Klabu ya Celtic ya Scotland imefikia makubaliano na klabu ya Brighton ya ligi kuu uingereza kuhusu mauzo ya straika wao matata Mousa Dembele dau la pauni milioni 18.
Makala na Prosper Bartholomew.
simu :/+255716243875
barua pepe:/ barthaprosper@gmail.com.
Maoni