TETESI ZA SOKA: AQUERO , N'ZONZI ,KENNEDY , SANCHEZ, RONADO

Klabu ya Manchester city bado haiajmpa ofa straika wake Sergio Aquero ambapo amekuwa si pendeleo sana kwa kocha Pep Guardiola katika mchezo dhidi ya Manchester united hakumtumia mshambuliaji huyu kumekuwa na minongono mingi kuhusu kuhondoka klabuni hapo.

Alexis Sanchez alikuwa amekubalia mkataba klabuni Arsenal kabda hajaamua kuacha kufikiria kuongeza mkataba baada ya kipigo cha 10-2 kutoka kwa wajerumani Bavariani .
Anatajwa sana kuwa miongini mwa wachezaji wanaowidwa sana.
Amebakiza miezi sita tu katika mkataba wake wa sasa.

Kocha wa Newcastle Rafa Benitez anamtaka na nikipaumbele chake cha kwanza kumpata kwa mkopo winga na kiungo wa Chelsea Kennedy Robert.
Ambaye ana nafasi katika kikosi cha kwanza lakini ni msaada pale timu inaposibwa na majeraha .

Klabu ya Manchester united inamfukuzia beki wa pembeni wa Fulham mwenye miaka 17 Ryan Sseguson kama mbadala wa Luke Shaw anayetarajiwa kutimuka klabuni hapo katika dirisha la majira ya baridi anatajwa sana na klabu ya Everton.

Baada ya kutimuliwa kwa kocha Eduardo Berrizo wa Sevilla huenda kukabadilisha mambo ya  kumuuza Steven N'nzonzi .
Katika hatua hiyo Arsenal ina mtaka sana mfaransa huyo huku anatajwa pia na Big Sam baada ya kufanya kazi klabuni Blackburn 

Kocha wa Real Madrid Zidane amesema kuhusu mustakabadhi wa Christiano Robalno klabuni hapo utaongolewa baada ya dirisha la majira ya baridi wala si el clasico .

Makala na Prosper Bartholomew's .
Simu :/+255716243875
barua pepe: barthaprosper@gmail.com.

Maoni