TETESI MOTOMOTO ZA SOKA JUMATANO HII ;

Habari moto moto kuhusu usajili katika soka zinasema-:

Kiungo Mfaransa Steven N' Zonzi ana asilimia kubwa ya kuondoka klabuni Sevilla katika dirisha la majira ya baridi "maisha yangu ya Soka yapo sehemu nyingine tusubirie mpaka mwishoni mwa decemba" kiungo huyo wa  zamani wa stoke alisema

Kiungo wa Arsenal Theo Walcott anatajwa sana kuhamia klabu ya Everton januari katika dirisha la majira ya  Baridi amekuwa na nafasi finyu katika kikosi cha Arsenal msimu huu.

Lionel Messi alikataa bonusi ya  pauni 88 milioni kutoka klabu ya Manchester city kama angesajiliwa na mshaara wa pauni 850,000 kwa wiki kabda ajasaini mkataba mpya Barcelona

Tim Cahill katangaza atachukua uamuzi mgumu  kuondoka Melbourne ambao pia uamuzi huo utakua na athari

Mike Ashley atachukua uamuzi wa kuuza klabu ya Newcastle united endapo Amanda Staveley na kampuni ya PCP Capital partners
wataongeza ofa kufikia pauni milioni 300

Maoni