RONALDO NA USHIKAJI HUU,KATUPA REKODI ZAIDI

Mshambuliaji hatari langoni pa adui na winga hatari Mreno Christian Ronaldo ameendelea kutia hofu akiwa katika  ligi ya klabu bigwa ulaya baada ya kuweka rekodi ya kufunga kila mechi alizocheza idadi ya michezo 6 na amefunga kila mchezo

katika mchezo wa kwanza dhidi ya Apoel alifunga mara mbili ,dhidi ya Dortmund mara mbili ,Spurs mara moja ikiwa nyumbani 1 na ugenini moja ,Apoel mara mbili,na Dortmund mara moja tens.

Aidha huenda akachukua tena kiatu cha mfungaji bora mara tatu mfululizo cha ligi ya mabigwa ulaya

Nahodha huyu wa Ureno amefunga mara 9 kwenye ligi ya mabigwa ulaya na mara mbili katika ligi kuu Hispania

Kwa sasa anashikilia rekodi ya Ufungaji bora wa muda wote akiwa na idadi ya magoli zaidi ya 113 katika ngazi ya klabu hasimu wake akiwa na magoli 100

Maoni