REAL MADRID WAMUAMBIA STRAIKA WA KIRUSI YUKO TATARI LALIGA , MUARGENTINA ATAJWA ,MJERUMANI AWA KIPAUMBELE MADRID

Klabu ya Real Madrid inamuhitaji huduma ya mshamhuliaji raia wa kirusi Fyodor Smolov ili kutia mashambulizi makali katika kupachika mabao

Kuna ripoti kutoka kwa skauti wake anasema mteja wake yuko magharibi mwa urusi anasoma lugha ya kiingereza ili kuweza kuzungumza na watu mbalimnali katika vyumba vya kubadilisha nguo

katika msimu huu klabuni Kransdor amepachika mabao 10 katika michezo 13 alyocheza msimu huu ikiwa misimu miwili iliyopita alipachika mara 38

katika mechi ya kirafiki na Hispania alifunga mara mbili na amekuwa na magoli 11 katika michezo 28 alizochezea taifa lake.Anatarajiwa kuiongoza urusi katika kombe la dunia

katika hatua hiyo Real Madrid inawamendia
Maurio Icardi Muargetina huyu mwenye goli 1 kwenye mechi ya kitaifa na magoli kibao Inter Milan anaonekana ataenda kumaliza ukame wa mabao pale Los Blancos

Timo Werner katajwa mjerumani huyu kwenye malango alitunikiwa tuzo ya mfungaji bora katika kombe la mabara huku akiwa anatia wasiwasi mkuu anapokuwa anawachezea Red bull

Makala na prosper
barua Pepe: barthaprosper@gmail.com

Maoni