MSIMAMO: SUNDERLAND NYUMBANI PALIWAGEUKA ,

Klabu inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Uingereza maarufu kama Championship Sunderland Jana wamepata ushindi wa kwanza nyumbani baada ya siku 364 bila ushindi katika uwanja wa nyumbani.

Klabu hiyo ikiyoshuka daraja chini ya kocha David Moyes kwa sasa yuko klabuni West ham alijiuzulu wadhifa wake baada ya klabu kushidwa kubaki katika ligi kuu uingereza. na kumpa kibarua Simon Grayson aliyetimuliwa oktoba 30 , nakumchukua Criss Coeman aliyewaongoza kupata ushindi wa kwanza nyumbani baada ya siku nyingi

Ushindi wa mwisho kabda ya jana ilikuwa tarehe 17 decemba 2016 wa bao 1-0 dhidi ya Watford .

Walicheza dakika 1,980 bila kushinda bila kushinda na kufugwa mabao 38 uwanjani Stadium of light

Maoni