Mwaka 2017 unakaribia kukatika lakini kuna wanasoka wameutendea haki katika kupachika mabao orodha hii ni ya wapachika mabao wanaongoza kwa mwaka 2017 katika ligi za ulaya mashindano yote yaani amna idadi ya magoli ya kitaifa katika vinara hawa
Lionel Messi klabu ya Barcelona magoli 49
Ederson Cavani klabu ya Paris SG. magoli 48
Robert Lewandoski klabu ya Bayern Munich magoli 43.
Harry Kane klabu ya Tottenham Hotspurs magoli 43.
Pierre Emerican Abubeyang klabu ya Dortmund magoli 40.
makala na prosper barthalomew
simu+255716243875 (whatsapp)
barua pepe:barthaprosper@gmail.com
Maoni