MSIMAMO: HARRY KANE KAMPIKU MPAKA RONALDO ,WEST BROM NA CRYSTAL PALACE WANAMTOSHA .

Mshambuliaji Muingereza Harry Kane anayeitumikia klabu ya Spurs inayotumia uwanja wa Wembley kwa sasa amekuwa na rekodi safi mwaka huu 2017.

Amefunga magoli 50 mwaka huu 2017 mshambuliaji huyu yaani amefunga magoli mengi zaidi ya mwanasoka wa dunia 2017 Christiano Ronaldo ,zaidi ya klabu ya West brom na  Crystal Palace .

Amecheza michezo 48 katika mwaka huu kabda ya hapo kesho atakapocheza mchezo wake wa 49 na 50 dhidi ya Manchester city

Amefunga kila baada ya dakika 81 ikiwa ni rekodi safi kwa mshambuliaji kama huyu .

Yaani kwa kitu magoli kipa duniani wanaogopa ni mashuti kwa kijana huyu kapiga mashuti 228 huku kukiwa na katika mashuti hayo magoli kipa wali haha sana

makala na prosper Bartholomew
simu:+255716243875
barua pepe (EMAIL) :barthaprosper@gmail.com

Maoni