MOHAMMED SALAH APATA CHA BBC

Mshambuliaji wa Liverpool amewapiku nyota mashuuri baraani Afrika katika tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Afrika BBC .

Waliokuwepo katika kinyanganyiro iko walikuwa Pierre Emmerickan Abubeyang wa Gabon, Victor Moses wa Nigeria  na staa mwenzake wa liverpool Sadio Mane wa Senegal .

katika Ukuransa wake wa Twitter staa huyu mwenye magoli 13 ligi kuu uingereza na mwongoza wa magoli katika ligi hiyo alisema " nafuraha kubwa ya kushinda tuzo hii ya hadhi ya mchezaji bora wa Afrika na kujumiaka na wachezaji mashuuri kabisa walioshinda kabda yangu"

Maoni